Kwa nini Masele?
Mgogoro na Ndugai ulimjeruhi,ulimuathiri sana huyu ndugu- kiakiri,Kiroho,Kiafya na kiuchumi..Asamehe tu..aachilie ktk moyo..
Nadhani tunahitaji Spika mwenye umri uliopevuka zaidi na mwenye hekima,Busara zaidi lakini zaidi mwenye Uzalendo uliotukuka na mwenye kutambua vema historia ya nchi..
Nadhani Masele anafaa kutumika kwenye taasisi Za kibiashara ama Wizara..Ni Mfanyabiashara mwenye fikra Za utafutaji kisasa..Ikipendeza ajikite kwenye biashara na ujasiliamali kuepuka majitaka na matope ya kisiasa..