Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Viongoz wa dini ni njaa tu,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.
Wasira amekutana na Kadinali Rugambwa leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 mkoani Tabora.
Katika mazungumzo yao viongozi hao wamejadili mambo mbalimbali kuhusu umuhimu wa kudumisha amani na ustawi wa Tanzania.
Aidha, baada ya mazungumzo yao Wasira ametembelea Shule ya Sekondari ya St Marrys (Mihayo) iliyopo mjini Tabora.
Shule ya Sekondari ya St. Mary's imebeba historia kubwa kwani ndiyo Shule ya kwanza ambayo Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifundisha kwa miaka mitatu.
Labda alimchana live huko ndani, huwezi jua.Mwadhama Kadinali anatakiwa kuwa makini zaidi. Tukio hili CCM watalitumia kwa dhamira ovu, kutaka kuthibitisha kuwa Kanisa Katoliki linaunga mkono uovu wa CCM na Serikali yake.
Kadili alistahili kutumia nafaisi hiyo kuionya CCM dhidi ya dhuluma, na uvunjifu wa haki unaofanywa na CCM dhidi ya wananchi na vyama vya upinzani, na wale wanaoikosoa Serikali, badala ya kukutana na kupiga picha za kusambaza mitandaoni.
Hata kama asingelisemea kanisa alipaswa yeye binafsi kukemea uonevu aliofanyiwa TALLabda alimchana live huko ndani, huwezi jua.
"Muadhama Kadinali Protase Rugambwa" Lichunge Kanisa la Bwana,
alilolinunua
kwa Damu yake Mwenyewe.
That's precisely what they are after. It will be very disheartening if the church is gullible enough not to see what is being sought from them.Strategically, the politicians want the unchallenged support from the church, especially church princes like Cardinal Rugambwa
Pole zako na kwetu sote mkuu. Sote tunatoa machozi ya rohoni, kila mmoja wetu kwa njia zake kwa kuona nchi yetu inavyo najisiwa na hawa viongozi wasiokuwa na chembe hata ndogo mioyoni mwao juu ya hali duni inayo wakabili waTanzania.NIMEANDIKA HUKU NIKITOA CHOZI LA ROHONI.
"...umuhimu wa kudumisha amani na ustawi wa Tanzania", ni kuhakikisha kuwa HAKI inapatikana kila mahali; nje ya hapo, hakuna amani ya kweli.Katika mazungumzo yao viongozi hao wamejadili mambo mbalimbali kuhusu umuhimu wa kudumisha amani na ustawi wa Tanzania.
Wamekwisha pewa ONYO kali hawa, katika ile hotuba ya kuadhimisha Ramadhani, hivi karibuni.Hata kama asingelisemea kanisa alipaswa yeye binafsi kukemea uonevu aliofanyiwa TAL
Aliyetoa onyo hawajui hawa vizuri. Viongozi wa kanisa catholic ni level nyingine yaani ni zaidi ya nchi, ndio maana viongozi wa serikali wanajipendekeza Kwa kuwatembelea maana wanajua.Wamekwisha pewa ONYO kali hawa, katika ile hotuba ya kuadhimisha Ramadhani, hivi karibuni.
Nasikiliza tu kusikia kitakacho semwa au kitakacho achwa kusemwa.Aliyetoa onyo hawajui hawa vizuri. Viongozi wa kanisa catholic ni level nyingine yaani ni zaidi ya nchi, ndio maana viongozi wa serikali wanajipendekeza Kwa kuwatembelea maana wanajua.