Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.
Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Ndiyo ila uchaguzi huu kasema haina haja ya kuwategemea maana hawana mpinzaniKumbe uwa wanawategemea
Ndiyo ila uchaguzi huu kasema haina haja ya kuwategemea maana hawana mpinzani
Mzee ficha aibu yako wewe mwenyewe umeshawahi kuwa mhanga wa wizi wa kura wa hilo genge la majambazi kwa msaada wa majambazi yanayovaa uniform.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.
Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Umri huo siyo wa kuendelea kuchukua dhambi zinazoepukika.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.
Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Huyu arudishwe tu kwenye makazi yake ya asili kule hifadhi ya Gombe.Umri huo siyo wa kuendelea kuchukua dhambi zinazoepukika.
Kuna vitu vinatia hasira hadi basi ila iko siku kama siyo sisi labda kwa watoto wetuMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.
Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.
Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka
In parallel universeMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha inakamata dola kwa nguvu ya wananchi.
Amesisitiza kwamba CCM haitegei Jeshi la Polisi kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu.
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wasira aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani cha wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Nzega na Igunga mkoani Tabora ambako anaendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kueleza maazimio ya mkutano mkuu maalum uliompitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
Hii nyara kwanini haipumziki na vijukuu vyake?Huyu arudishwe tu kwenye makazi yake ya asili kule hifadhi ya Gombe.