Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kumbe watanzania mnasakama mzee wa watu kuwa anachukua nafasi za vijana meanwhile kumbe hata halipwi mshahara na ANAJITOLEA?
Tungependa pia kujua hizo posho ni shingapi mzee Wassira ili vijana wasikusumbue kabisa.
========================================
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira amesema ana uzoefu wa kutosha kuweza kufanya majukumu anayotakiwa kwa wakati bila kujali umri alionao, ambapo kwa sasa ana umri wa miaka 80.
"Mimi hata nikiacha Umakamu Mwenyekiti vijana wangapi wataajiriwa? Alafu wataajiriwa kufanya kazi gani? Maana kazi ya Makamu Mwenyekiti kwanza haina mshahara sijui kama unajua? Sasa hao wanataka kazi isiyokuwa na mashara?"
"Hakuna mshahara kuna posho posho za kwenda Mbeya Mwanza labda. Hizo unaweza ukaajiriwa wewe ukaishi?. Sisi chama chetu ni chama cha kujitolea.Wanaolipwa ni watu wa serikali.