Pre GE2025 Stephen Wassira: Mtu mahiri, mbobezi, na mzalendo kwa Taifa

Pre GE2025 Stephen Wassira: Mtu mahiri, mbobezi, na mzalendo kwa Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Wanabodi,
Salaam!

Namzungumzia nguli wa siasa na diplomasia nchini - mwamba wa nchi - chuma cha pua Mhe Stephen Masatu Wassira.

# Ni nadra sana kupata kiongozi mwenye umri mkubwa kama Wassira - kiumweli ukilinganisha umri wake na kazi afanyazo huwezi kuamini;

# Mzee Wassira ana uwezo wa kuhutubia mikutano hadi 7 kwa siku. Wakati huo akipitia nyaraka za taarifa kutoka taasisi kadhaa;

# Ana uwezo wa kuongea kwa simu zaidi ya dakika 530 kwa siku sawa na masaa 8.8 kwa nyakati tofauti; kwa umri wake hii ni idadi kubwa ya matumizi ya simu;

# Katika mikutano na vikao vyake neno AMANI hulitamka kati ya mara 37 - 73 kwa siku. Hii ni kutokana na jinsi taifa hili anavyolitakia mema;

Vikao vilivyomteua kushika nafasi hii vilitukosha wanaccm, vimeitendea haki serikali yetu - hatuna deni navyo na hatuna deni na Stephen Wassira.

# Kidumu CCM
# CCM - Kazi na Utu
 
Back
Top Bottom