Ile ya kampuni inayojiusisha na usambazaji wa movie apa bongo,STEPS ENTERTAINMENT imeandaa tuzo kwa ajili ya wasanii,ma director,script writer,best actress/actor,tuzo hizo zitahusisha filamu zote zinazosambazwa na kampuni hiyo ya steps,wanaowania tuzo ya msanii bora wa kike ni
1.RIYAMA ALYY(TABU YA KUOLEANA)
2.WASTARA JUMA(KOZOPATA)
3.JENNIFER KYAKA AU ODAMA(CHOCOLATE)
4.IRENE UWOYA(BAAMEDI)
5.AUNT EZEKIEL(MREMBO KIKOJOZI).hao ndio wasanii wa kike wanaogombania tuzo hiyo.Zoezi zima litafanyika bluepearl ubungo jumamosi hii...