Mkuu Bukijo,Wadau naombeni mnijuze steps zinazofaa unapoanza Mahusiano na mtu ambaye mmekutana katoka mikoa Tofauti,yaani mfano mmoja anatokea Mwanza na Wewe kwenu ni Arusha halafu mmekutana Dar Mkapendana!.Mnaanza upande gani kutambulishana?
Pia ningependa ufafanuzi kidogo juu ya POSA,posa ni nini? Ni vitu gani vinawekwa kwenye posa na ni nani anaruhusiwa kupeleka Posa,maneno gani husemwa wakati wa kutoa posa?.
Ntashukuru kwa maelezo yenu!
Asanteni!
Sasa unashangaa nini??!! Si ndiyo maana kaja hapa kuuliza mkuuYaani wewe unataka kuchumbia na then hujui mila zao? Kila kabila lina mila zake sasa nikikwambia za kwetu Mbulu utaelewa? Au kule kwetu Tarime lazima upeleke na mbegu za bangi ili ukubalike? We cha msingi uliza mila za kwao huyo mchumba wako then utajua nini kinatakiwa kufanyika.
Wadau naombeni mnijuze steps zinazofaa unapoanza Mahusiano na mtu ambaye mmekutana katoka mikoa Tofauti,yaani mfano mmoja anatokea Mwanza na Wewe kwenu ni Arusha halafu mmekutana Dar Mkapendana!.Mnaanza upande gani kutambulishana?
Pia ningependa ufafanuzi kidogo juu ya POSA,posa ni nini? Ni vitu gani vinawekwa kwenye posa na ni nani anaruhusiwa kupeleka Posa,maneno gani husemwa wakati wa kutoa posa?.
Ntashukuru kwa maelezo yenu!
Asanteni!
Sinamaana tofauti na hiyo ila ugumu wenyewe ni hivi-Ndugu wakaribu upande wangu wameoana kabila moja hivyo hapakua na complication, walisafiri kuelekea mkoa wao wakafunga ndoa bila shida yoyote!Ina maana nyie wote wawili hamna ndugu walioko kwenye ndoa? kwa nini msiwapigie simu muwaulize walifanyaje? hii ilikuwa haina sababu ya kuulizwa hapa unless una maana nyingine...
Basi hilo ndio lingekuwa swali? lakna ukiuliza general watu hatuelewi unataka nini kumbe mtu unajua hata kutofautisha kuwa mila zenu hazifanani? ushauri anza mila za binti ndo zije zako(ladies first)Sinamaana tofauti na hiyo ila ugumu wenyewe ni hivi-Ndugu wakaribu upande wangu wameoana kabila moja hivyo hapakua na complication, walisafiri kuelekea mkoa wao wakafunga ndoa bila shida yoyote!
Kwa upande wangu ni hv mimi natakea Kigoma na mchumba wangu anatokea Manyara!.Hivyo tumeshindwa kuelewa tufuate desturi za wapi kwani kwa ufupi zinatofautiana mno!
Yaani wewe unataka kuchumbia na then hujui mila zao? Kila kabila lina mila zake sasa nikikwambia za kwetu Mbulu utaelewa? Au kule kwetu Tarime lazima upeleke na mbegu za bangi ili ukubalike? We cha msingi uliza mila za kwao huyo mchumba wako then utajua nini kinatakiwa kufanyika.
Nashukuru sana,ngoja nianze kutafuta watu wa Huko(Manyara/Arusha) nadhani watanisaidia kwa hili!Basi hilo ndio lingekuwa swali? lakna ukiuliza general watu hatuelewi unataka nini kumbe mtu unajua hata kutofautisha kuwa mila zenu hazifanani? ushauri anza mila za binti ndo zije zako(ladies first)
Nashukuru sana,ngoja nianze kutafuta watu wa Huko(Manyara/Arusha) nadhani watanisaidia kwa hili!
Du!! Mkuu hiyo sidhani kama inawezekana kwangu,Kwani nataka Ndoa ya kanisani!bwananyie mnaleta complication za ajabu .kwetu sisi wachaga huwa tunamchukua mwamnamke tunamweka ndania asubuhi mzee anaamka na mbuzi anapeleka kwa wakwe ngomo inaishia hapo unakuwa tayari umeshaoa