J JAMALDIN HAJI Senior Member Joined Feb 26, 2013 Posts 187 Reaction score 9 Jun 15, 2013 #1 Steps wanatoa tuzo kwa wasanii wa movie walio kwenye kampuni yao
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Jun 15, 2013 #2 Weka maelezo ya kutosha. Tuzo za nini? Wapi? Categories gani? etc.
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,304 Jun 15, 2013 #3 tuzo naona zimekatizwa ghafla baada ya jamaa aliyekuwa mitungi kupanda stejin na kuzingua watu
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Jun 16, 2013 #4 tuzo za nini kwa senema gani?