Steve Bruce wa Newcastle United afungashiwa virago

Steve Bruce wa Newcastle United afungashiwa virago

Quality ya timu ni championship ameibakiza prem misimu mitatu, anastahili kiinua mgongo cha kutosha.
 
Wamiliki wapya wa timu ya Newcastle United wameamua kupata changamoto mpya ya kocha ili kwenda na kasi yao mpya .

Mkataba wa Kocha Steve Bruce umesitishwa rasmi leo

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Uyo kaamua kuchukua mabegi yake mwenyewe willingly kabla ya nyundo kumshukia ko mda huu yupo anakusanya zake miswaki na sabuni
 
Masheikh wameamua[emoji16][emoji16].
Kabla ya kuingia uwanjani swalaa
 
Back
Top Bottom