Siri Sirini
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 547
- 199
sijakuelewa,ila pole yake steve,maana mtoto anauma jamanipole steve,je,sababu za kifo cha 1 zilijulikana na kutibiwa?kama bado uenda sababu za vifo vyote 2 ni sawa.
pole steve,je,sababu za kifo cha 1 zilijulikana na kutibiwa?kama bado uenda sababu za vifo vyote 2 ni sawa.
anakaa wapi tuje msibani?
anakaa studio, alikuwa anakaa huku kinondoni hombus kwa chini ambapo nipo mimi, ukifika studio ki2oni kama waenda k/koo njia ya kuingia kushoto kwa mbele, cjawahi kwenda, na wanazika sa10 jioni makaburi ya kinondoni mwembe jini, mtoto ana siku 2.