Steve Nyerere ajibu Mapigo ya Humphrey Polepole

Steve Nyerere anafanya ushamba wa Chadema kumshambulia mtu yeyote mwenye mawazo tofauti. Kama CPA Amos Makalla, Mwenezi CCM Taifa amemtakia kila la heri, huyu Steve Nyerere ana mamlaka gani ya kwenda kinyume na Msemaji wa CCM Taifa?
Kama ni kutukanana aende Chadema huko!!!
 
huyu ni Mengele sio Nyerere. point of correction.
 
Hivi mabumunda ya aina hii huwa wanayaokota wapi?
 
Duuh kwa hiyo hayo ndo majibu katumwa aje ajibu na analipwa kwa kujibu hivyo?
 
Ha ha ha nimechoka Sana kuona mtu mwenye mtindio wa ubongo anajibu high minded skill, hakika ni aibu
 
Hakuna kitu kama Nyerere hapo. ni Pumba za Mengele na makelele!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ofisa wa ikulu nchini Tanzania
 
Mkuu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu. Isingekuwa juhudi zake leo tusingeendelea kusema shahada.

Kupitia yeye tumepewa/tawfiq tawfeek the ability to win and succeed na tuna uhakika wa jannah na firdaus.

Allah mwingi wa rehma amfanyie wepes na kumpa qauli thabeet za kutosha kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S the grandson of the prophet of Allah!




adriz Mufti kuku The Infinity Wakili Makonde plateu
 
Huyu anaropoka tu, si saizi ya polepole, anaonekana mpuuzi fulani hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…