Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Baada ya kuona video hii ya wasanii kukusanywa kama watoto wa shule ya msingi kwenye event maalum ya kugawa mitungi kwa wakina mama, nimepata maswali mengi
Hivi kwanini CCM siku hizi hawawezi kufanya mambo yao bila kuhusisha wasanii?
Yaani CCM siku hizi hata wakienda kuzindua ukuta wa nyumba lazima wawabebe hawa Bongo Movie kwa ajili ya kufanikisha jambo lao?
Hii mitungi isingeweza kusambazwa bila kutumia wasanii?
Hiyo "taasisi" ya "Mama Ongea Na Mwanao" inahusikaje na suala la mitungi ya gesi?