Kwani wasanii hawaruhusiwi kujiunga na vyama vya siasa? Au kwakuwa upande mwingine hakuna wasanii "wa kutosha" ndio maana mnawaonea wivu CCM?Baada ya kuona video hii ya wasanii kukusanywa kama watoto wa shule ya msingi kwenye event maalum ya kugawa mitungi kwa wakina mama, nimepata maswali mengi
Hivi kwanini CCM siku hizi hawawezi kufanya mambo yao bila kuhusisha wasanii?
Yaani CCM siku hizi hata wakienda kuzindua ukuta wa nyumba lazima wawabebe hawa Bongo Movie kwa ajili ya kufanikisha jambo lao?
Hii mitungi isingeweza kusambazwa bila kutumia wasanii?
Hiyo "taasisi" ya "Mama Ongea Na Mwanao" inahusikaje na suala la mitungi ya gesi?
Kwani wasanii hawaruhusiwi kujiunga na vyama vya siasa? Au kwakuwa upande mwingine hakuna wasanii "wa kutosha" ndio maana mnawaonea wivu CCM?
Ili jambo linoge inatafutwa namna bora ya kuli popularize. Na CCM imeona iwatumie Wanachama wake ambao ni wasanii.Kulikuwa na haja gani ya kuwaita wasanii kugawa mitungi?
Hiyo mitungi ilikuwa hadi hao waganga njaa waje kugawa?
Hela za kufanya matamasha Huwa zipo tu. Jaribu Sasa zile za mambo ya msingi. Utaambiwa, hizo ni mchakato.Baada ya kuona video hii ya wasanii kukusanywa kama watoto wa shule ya msingi kwenye event maalum ya kugawa mitungi kwa wakina mama, nimepata maswali mengi
Hivi kwanini CCM siku hizi hawawezi kufanya mambo yao bila kuhusisha wasanii?
Yaani CCM siku hizi hata wakienda kuzindua ukuta wa nyumba lazima wawabebe hawa Bongo Movie kwa ajili ya kufanikisha jambo lao?
Hii mitungi isingeweza kusambazwa bila kutumia wasanii?
Hiyo "taasisi" ya "Mama Ongea Na Mwanao" inahusikaje na suala la mitungi ya gesi?
Unateseka ukiwa wapi huko na wivu wako kusiko na Sumu ili unywe na Kufa kabisa. Wasanii nao ni wanachama wetu hai wa CCM na ndio maana wanashiriki katika shughuli na matukio mbalimbali ya chama chetu cha mapinduzi CCM .
Hawana tofauti sana mikutani kujaa wasanii kwa kiwango kikubwa ilianza zama zake. Alipoingia alitangaza kuwa wasanii watakuwa hawahitajiki tena wao watatumua band za ccm. Baadaye akapiga uturnYule mwingine alikuwa haendekezi ujinga ela zikapotea mitaani mkalalamika sana, huyu wa sasa anaendekeza ujinga ela zimezagaa mtàani bado mnalalamika.., hivi huwa watanzania mnataka nini!???..
Ili jambo linoge inatafutwa namna bora ya kuli popularize. Na CCM imeona iwatumie Wanachama wake ambao ni wasanii.
Hakuna chama cha siasa ambacho hakitafuti umaarufu unless uwe hujui maana ya umaarufu wa kisiasa. Unaijua?Wasanii they will drop CCM like a bad habit siku mkipoteza dola umaarufu.
Na hapo una-prove kwamba lengo lilikuwa ni kutafuta umaarufu sio kugawa mitungi ili msaidie wananchi.
Hizo zote ni dalili za chama ambacho kinapumulia mirija