Steve Nyerere Amnanga Billnas

Steve Nyerere Amnanga Billnas

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
9,971
Reaction score
13,608
"Bilnass hawezi kufanana na mimi, mara ya kwanza kusikia jina hilo nilijua ni mabasi mapya ya Mtwara. Hawezi kujiita staa wakati hata Kibaha hajulikani, yeye atulie tu kukiwa na 'birthday' za wanangu nyumbani aje aimbe nimpe elfu hamsini"- Steve Nyerere.

FB_IMG_1559184895152.jpg
 
Watu wafupi akili zao zipo karibu na mavi

hata wanavyofikiria utashangaa

wakiongea kama wanaharisha

anachowaza ni hela za rambi rambi tu
 
Aisee, kamvua nguo mchana kweupe, ila usema kweli tasinia ya wasanii iwe ( bongo fleva au bongo movies) wote njaa tu..

Ila kwa hawa wawili steve ana maisha kumzidi mwenzake so ruksa kumrushia marungu..
 
kama ni kweli basi Steve ni shidaaaaaa,et mara yake ya kwanza kusikia billnas alijua ni kampuni mpya ya mabasi ya mtwara????hahahahahaaaaa,kweli dar nenda na nguo tu,tabia utazikuta hukohuko
Kumbe ukiachana na kipaji chake cha kulia kwenye misiba isiyomuhusu kumbe pia ana kipaji cha mipasho,aimbe taarabu.
 
Watu wafupi akili zao zipo karibu na mavi

hata wanavyofikiria utashangaa

wakiongea kama wanaharisha

anachowaza ni hela za rambi rambi tu
Acha ku generalize watu mkuu. Kuna watu ni wafupi hatuna muda wa kubishana. Na ni wastaarabu vizuri tu.
 
Back
Top Bottom