Steve Nyerere amponda Erick Omondi, adai watanzania wanaomkubali ni wajinga

Yaani wewe steve nyerere ungejua unavyonikera hata kwa picha usingesema watz ni wajinga ,huo ujinga wako sio watz wote wanao yaani bora bambo kuliko steve nyerenyere
 
Ndio tatizo la wasanii wetu..
Eric Omondi kesha prove kwenye nchi mbali mbali Kama anajua..
Ni Top ten Stand up comedy in Africa..
Yeye Mwenyewe kazi yake kuiga sauti za viongozi na ujanja ujanja.
mwambie hata hata hapo kenya wanamjua kama sisi tunavyo mjua omondi
 
Wakali bongo ni mizengwe,jambo na vijambo zamani na ze comedy ya kina masanja.waliobaki no sufuri
 
huyu jamaa mpumbavu nini... hivi yeye huwa anachekesha watu au anawalazimisha wacheke maana stand up zake wamejaa marafiki zake wanacheka tuu ili kumpa support aonekane anachekesha , hiki kiburi cha kujilinganisha na omondi ametoa wapi....!!!
 
Mwigizaji huyo wa comedi alidai hivyo alipokuwa akihojiwa na e news ya eatv, amesema hana kipaji cha kuchekesha bali kukopi nyimbo za watu na watanzania ni wajinga ndio maana wanamkubali mtu kama huyo kuwa ni mchekeshaji.

Tatizo ana akili za panya.....na wivu umemjaa m***ae
 
Hivi huyu jamaa huwa ni msanii wa nini?
Manake wema sepetu tunajua anachouza
Yeye anauza nini?
 
Hivi huyu nae huwa mchekeshaji au mkusanya rambirambi za wasanii!
 
Haka ka bwana mdogo nakaonaga pale Break Point kinondoni kakigongea supu.. kajinga sana eti hakamjui Omondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…