Steve Nyerere asema bado ni Msemaji wa Shirikisho la Wanamuziki Nchini, hajaondelewa na hajajiuzulu

Steve Nyerere asema bado ni Msemaji wa Shirikisho la Wanamuziki Nchini, hajaondelewa na hajajiuzulu

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
"Sijiuzulu na wala sitoki, nina nia ya kuendeleza industry (tasnia ya muziki) ya nchi hii.

Amesema hayo Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT); Steven Nyerere, akiwajibu watu waliomtaka ajiuzulu kwa kuwa nafasi hiyo hastaili kuwepo.

Aidha, Steve Nyerere ameongeza kwamba uteuzi wake ukitenguliwa atakwenda mahakamani.

Source: https://t.co/KxVwM3sSSg
 
Ila Fid Q si kaitisha kikao cha dharura kumuhusu huyu mwamba.
 
Wasanii wa bongo bwana Mziki umewashinda kupenya kimataifa wameanza kuvutana mashati kuhusu msemaji kwani kabla ya hiko cheo cha usemeje ilikueje??

wenzao Nigeria 🇳🇬 wanajaza O2 Arena wao wapo busy kususia tuzo na Kumjadili Steev.

.Hawajui kwamba nyumba wanayoijenga ni moja..

Hovyo
 
Huyo ndio Steve aka Mdananda, ana familia ina mtegemea.
Screenshot_20220320-001425_Instagram~2.jpg
Screenshot_20220320-001435_Instagram~2.jpg
Screenshot_20220319-172927_Instagram.jpg
Screenshot_20220319-161816_Instagram.jpg

Kuna msemo moja "mjini hapa ukitaka yako ya kuendee husimtizame mtu usoni."
 
Hii kwa Steve ni ajira waisifikiri atang'oka kirahisi.

Kuna mambo Steve anahitaji kuyafanya ila tu alikuwa anakosa Mwamvuli.

Sasa kafanya ubunifu wake Wanga wameanza kumuandama, Walahi atakufa na Mtu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]ila Steve, nilicheka kwenye xxl ney wa mitego na Adam mchomvu wamekazana kusema ajitoe abaki bongo movie na siasani tu, yeye na mziki wapi na wapi[emoji3]
 
Back
Top Bottom