I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Watu wafupi wana matatizo sana...
Hakuna cha maana anachofanya...Hapo tatizo la Steve ni lipi?
Hiyo position si ndio kwanza amechaguliwa?Hakuna cha maana anachofanya...
Labda kama kutangazwa, ila kitambo sana huyo jamaa anaingangania hiyo position na hua anajionaga yeye ndiyo hivyo...Hiyo position si ndio kwanza amechaguliwa?