Steve Nyerere kasema atatoa ratiba ya msiba akifika Nairobi

Steve Nyerere kasema atatoa ratiba ya msiba akifika Nairobi

Acha aende tu maana vijana wengi kwenye issue za misiba na majanga huwa wanadhani ni shughuli za wazee, matokeo yake mtu kama Steve anaependa kujishughulisha inakuwa fursa kwake maana wengi huwa wanarudi nyuma wanasubiri mambo yakae sawa wabaki kuchanga fedha tu
 
Wamuwahi kabla hajafanya yake, Fulusa! Fulusa! Fursa!
 
Si ndo yule wanasema tapeli anakula hela za rambirambi
 
Yeye ndo msemaji wa familia mpaka atoe ratiba.Hao na clouds ndo wanatangaza msiba uko mbezi wakati baba wa marehemu anasema msiba uko mwananyamala kwenye Nyumba aliyojenga na muna.
 
Back
Top Bottom