Steve Nyerere kasema atatoa ratiba ya msiba akifika Nairobi

Aisee huyu kijana kazi yake ni rambirambi kuzila tuu
 
kwani huyu mtoto ni nani hapa tanzania maana kila kona nasikia mtotoo huyu jamani wengine hatujui hebu tuambiane
Asante my dear ,bora na wewe umeiliza,nimekuja nikijiuliza hili swali ,Huyu mtoto nae alikuwa bongo movie au wazanzi wake?
To be honest inamaana sana Rip mtoto mzuri ..Ila nashindwa kutambua marehemu alikuwa Kwenye entertainment industry au wazanzi manake social media Leo ni Habari za Dogo tu.
 
Yeye ndo msemaji wa familia mpaka atoe ratiba.Hao na clouds ndo wanatangaza msiba uko mbezi wakati baba wa marehemu anasema msiba uko mwananyamala kwenye Nyumba aliyojenga na muna.
Clouds kuna wakati wanapenda kujidhalililsha sana bora wangekaaa kimya tu!!!!
 
Nyie mnaosema Steve anawahi fursa mna uhakika ?? Kuna watu wana asili zao,,wengine wakiwa kwenye shughuli za musiba au sherehe ni wachapa kazi ,,ila wanaishiaga kuitwa viherehere ,,sasa huyo naye ndo alivo,, anapenda kujitoa ,,ebooo
 
na siku steve akifa na sisi hatutakuwa na haraka kumzika
 
Huyu kaka jamani, anajitoa kweli kuhudhuria misiba ya kila "supa staa"!!! na hapo bado atapiga picha mbele ya kaburi arushe mtandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…