Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kuwa na adabu fadhali huyo steve mengere ..Baba wa Taifa hana mtoto anaitwa Steve Mr misibaAnaandika msanii Steve Nyerere
"Mh Rais Samia Suluhu Hassan hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu Akaona Anaweza kusema chochote kwenye Nyakati zote, Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na uvumilivu pia lakini kwa Wajinga na watu wasio waelewa wanaweza kuona wapo juu Ya sheria,...
Huwezi kusimama mbele Ya Rais wako Mwenyekiti wako Ukasema Unamdai kwanza sio heshima kabisa,....
Lakini watu kama hawa Mh Rais wapo wengi lla leo Umewaonyesha Sura yako Kama Rais, Umewaonyesha Makali yako kama mwenyekiti hongera sanaa,..
Naimani wanaenda kujipanga Upya lakini kamwe hawata weza,....
Tufike mahala Tutambue Tujue kuna Dola kuna Mamlaka kuna serikali na hakuna aliye Juu ya Dola na hukatazwi kusema lakini hakuna Uhuru Usio na kikomo,....wawejaaa sanaaa."
Form 4 Z division 5 huyu anajua nn zaidi ya kusifia, kenge blue kbs!!Anaandika msanii Steve Nyerere
"Mh Rais Samia Suluhu Hassan hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu Akaona Anaweza kusema chochote kwenye Nyakati zote, Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na uvumilivu pia lakini kwa Wajinga na watu wasio waelewa wanaweza kuona wapo juu Ya sheria,...
Huwezi kusimama mbele Ya Rais wako Mwenyekiti wako Ukasema Unamdai kwanza sio heshima kabisa,....
Lakini watu kama hawa Mh Rais wapo wengi lla leo Umewaonyesha Sura yako Kama Rais, Umewaonyesha Makali yako kama mwenyekiti hongera sanaa,..
Naimani wanaenda kujipanga Upya lakini kamwe hawata weza,....
Tufike mahala Tutambue Tujue kuna Dola kuna Mamlaka kuna serikali na hakuna aliye Juu ya Dola na hukatazwi kusema lakini hakuna Uhuru Usio na kikomo,....wawejaaa sanaaa."
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao alikuwa na haya baada ya Mpina kutoendekeza Uchawa kwa Rais

Hamjui kwamba huyo ni miongoni my the 20 most powerful people in Tanzania?Kuwa na adabu fadhali huyo steve mengere ..Baba wa Taifa hana mtoto anaitwa Steve Mr misiba
Huyu Steven ni kati ya ndezi na vibaraka wa serikali hii ovu. Serikali hii inapenda watu weupe kichwani tu.Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao alikuwa na haya baada ya Mpina kutoendekeza Uchawa kwa Rais
View attachment 3373360
"Mh Rais Samia Suluhu Hassan hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu Akaona Anaweza kusema chochote kwenye Nyakati zote, Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na uvumilivu pia lakini kwa Wajinga na watu wasio waelewa wanaweza kuona wapo juu Ya sheria,...
Huwezi kusimama mbele Ya Rais wako Mwenyekiti wako Ukasema Unamdai kwanza sio heshima kabisa,....
Lakini watu kama hawa Mh Rais wapo wengi lla leo Umewaonyesha Sura yako Kama Rais, Umewaonyesha Makali yako kama mwenyekiti hongera sanaa,..
Naimani wanaenda kujipanga Upya lakini kamwe hawata weza,....
Tufike mahala Tutambue Tujue kuna Dola kuna Mamlaka kuna serikali na hakuna aliye Juu ya Dola na hukatazwi kusema lakini hakuna Uhuru Usio na kikomo,....wawejaaa sanaaa."
Hapa hii kauli mbona inakinzana sasaš¤£Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na uvumilivu pia lakini kwa
Si kuwadiHuyu Steven ni kati ya ndezi na vibaraka wa serikali hii ovu. Serikali hii inapenda watu weupe kichwani tu.