STEVE Nyerere nae Apanga Kujitosa Ubunge Jimbo la Kinondoni 2015

STEVE Nyerere nae Apanga Kujitosa Ubunge Jimbo la Kinondoni 2015

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
KOMEDIANI maarufu na Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere' amesema anatarajia kugombea na kushinda ubunge 2015 bila kutumia fedha.

Akitema madini mbele ya kinasa sauti cha Ijumaa Wikienda mwishoni mwa wiki iliyopita, Steve alisema atagombea kupitia Jimbo la Kinondoni, lakini ieleweke kuwa hatotumia fedha katika kampeni zake.

"Saundi (maneno) ndiyo kila kitu, ukiongea na watu vizuri na wakakuelewa, hakuna kitakachoshindikana, nitaibuka na ushindi mzito tu, vuteni subira watu wangu," alisema Nyerere.

 
Ataangukia pua! Hawezi kushindana na Idd Azan, labda aende Kawe kwa Halima Mdee au Temeke kwa Mtemvu.
 
Tumeshakua na bunge lenye dhihaka mpaka kila mwananchi mwenye ulimi anamiini anaweza kuingia!
 
Bunge letu limekuwa la hovyo, ni baada ya mtu kama mganga profesa maji marefu kuwa wabunge kwa kutumia ndumba, hasa kuwasindika viongozi!!!!! Sasa kila mtu ana amini anaweza kuwa mbunge!
 
Ndiyo wAnavyodanganywa. Uongozi umedharaulika sana, kila MTU anataka ubunge hii kali
 
Asije akapoteza muda,siwezi wakilishwa na mpumbav wa aina yake
 
Back
Top Bottom