Steve Nyerere: TID anaishi kwa wazazi wake na akiona gari langu ananikimbilia kuniomba 5,000,

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Msanii mchekeshaji Steven Nyerere ameendelea kum diss TID kwa kusema ni mtu ambaye wakati wake umepita na pia hajielewi na hawezi kujifananisha naye
Amedai msanii huyo anaishi kwao na amekuwa akimpiga vizinga vya 10,000 na 5,000 kila akiona gari lake huku yeye akiwa ana nyumba na anatunza familia na kununua mafuta ya magari kadhaa

 

Kwa kazi gani?
 
Hawa jamaa wataambukiza watoto wetu kiingereza cha uongo kwa sababu ya nafasi yao ktk jamii, ngoja turekebishe mapema:
Steve: '..romance..', nadhan hapa alimaanisha 'rumours' ikitamkwa 'rumaz' yenye maana tetesi, umbea, nk.
TID: Huyu kiingereza chake kizuri, ila matamshi yanamsumbua kama mimi na watz wengine. Anatamka 'ai hevu bin woking..'. Badala ya kutamka 'woking' akimaanisha 'working' alipaswa atamke 'weking' yenye maana ya kufanya kitu/kazi maana ukiitamka 'woking' unamaanisha neno 'walking' na sio 'working'.
 
Mwanyuane wenyewe huko mkimaliza leteni makubaliano yenu hapan mezani.
 

 
 
Huyu mgoloko ameacha ukuwadi siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…