Steve Nyerere: TID anaishi kwa wazazi wake na akiona gari langu ananikimbilia kuniomba 5,000,

aisee sikujua nilimuona anazidi kungaa tu a kunenepa huyu ali choki
Hawa watu wamezungukana sana kuna uzi humu niliona wana Jf wanamsifia Lilian internet kuwa ametulia na yuko tofaut na wacheza show wengine nikawa nachekea pembeni
 
Hawa watu wamezungukana sana kuna uzi humu niliona wana Jf wanamsifia Lilian internet kuwa ametulia na yuko tofaut na wacheza show wengine nikawa nachekea pembeni
hahaha kwani yeye si yupo bado? kwanini unacheka mkuu?
msondo ngoma ndo walitisha nadhani walikuwa wanapokezana wapenzi
 
hahaha kwani yeye si yupo bado? kwanini unacheka mkuu?
msondo ngoma ndo walitisha nadhani walikuwa wanapokezana wapenzi
Yupo ila jamaa wangekua na access naye nao wangeuziwa mbuz kwenye gunia jinsi walivyokua wanamsifia;Msondo amebaki Romario na Mabela tu wakongwe
 
Mkuu mliopanda skuli basi mna raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…