Steve Nyerere: Wachungaji wanamiminika kwa wingi hivi imekuwa ni biashara?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
"Siku hadi siku Wachungaji wanamiminika, najiuliza hivi imekuwa ni biashara? Na kama ni biashara wanadhani kufanya mzaha na hisia za watu wanaomtafuta Mungu kwa gharama yoyote wanawatendea haki?"- Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere.


 
Yeye ana subiri nini kuanzisha kanisa?

Watu walimiminika kuutafuta ubunge na sasa wana utafuta uchungaji

Hakuna atakaye baki nyuma, kama ana taka afungue lq kwake pia... aliite bongo muvi full gospal church
 
Mc pilipili ana kanisa, masanja ana kanisa, ye anasubiria nini
 
Huyu huyu Steve , alikua bado hajauloweka ubongo na K-vant kubwa ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…