brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Ukuwadi mkuu.Hivi huyu kijana, nini kinacho muweka hapa mjini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ana pesa chafu?? mwiko kutaja pesa kwenye vitu vya kipumbavu...😛
Aiseeee.....[emoji15] [emoji15]Ukuwadi mkuu.
We sema tunazidi kubakia wachache wenzako wanaingiza mkwanjwa sasa hiv anaukaribu sana na bilionea lemutuz mzee wa mipangoAiseeee.....[emoji15] [emoji15]
Kweli wanaume tuna zidi kubakia wachache
UchocheziWe sema tunazidi kubakia wachache wenzako wanaingiza mkwanjwa sasa hiv anaukaribu sana na bilionea lemutuz mzee wa mipangoView attachment 395210
Msanii Steve Nyerere anasema haoni ajabu wanawake kujigonga kwake kwa kuwa yeye ni super star hapa bongo na pia ana pesa chafu,
Steve ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa wapo wanawake wanapigana kwa ajili ya Will Smith wa marekani wengine wanaume wanapigana kwa ajili ya Kim Kardashian
Steve amesema kuwa kwa sasa anaishi na mwanamke na ana watoto
View attachment 395121