Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio Taarifa iliyotangazwa na Club ya Aston Villa muda mfupi uliopita .
Binafsi sikupenda Steve aachane na Rangers Mapema namna hii , kule Scotland ndio mahali kwa kupatia uzoefu , sasa uzoefu wa muda mfupi namna hii hautoshi kumfanya afurukute EPL .
Hata hivyo namtakia kila la heri .
=====
NA EMMANUEL MBATILO
Klabu ya Aston Villa ya nchini Uingereza imemtangaza Steven Gerrard kuwa kocha wao Mkuu kuchukua mikoba ya Dean Smith ambaye alitimuliwa hivi karibuni kutokana na matokeo mabovu.
Gerrard alikuwa mchezaji wa Liverpool kwa muda mrefu na kupata mafanikio makubwa kwenye klabu hiyo na baadae kustaafu kucheza soka.
Mwaka 2018 Steven Gerrard alitangazwa kuwa kocha Mkuu wa klabu ya Rangers ya nchini Scotland ambapo kwenye hiyo ameipa mafanikio ikiwemo kushinda taji la ligi hiyo.