Steven Gerrard aachia ngazi Aston Villa

Steven Gerrard aachia ngazi Aston Villa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya kipigo kitakatifu cha bao 3-0 kutoka kwa Fulham, bwana Steve Gerald ametangaza kung'atuka kwenye timu hiyo. Bali haifahamiki chanzo cha yeye kuweka mpira kwapani.

Angalizo: Ukiona hautoshi usikimbilie vyeo vikubwa, utadhalilika!
 
Back
Top Bottom