Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Oct 21, 2022 #1 Baada ya kipigo kitakatifu cha bao 3-0 kutoka kwa Fulham, bwana Steve Gerald ametangaza kung'atuka kwenye timu hiyo. Bali haifahamiki chanzo cha yeye kuweka mpira kwapani. Angalizo: Ukiona hautoshi usikimbilie vyeo vikubwa, utadhalilika!
Baada ya kipigo kitakatifu cha bao 3-0 kutoka kwa Fulham, bwana Steve Gerald ametangaza kung'atuka kwenye timu hiyo. Bali haifahamiki chanzo cha yeye kuweka mpira kwapani. Angalizo: Ukiona hautoshi usikimbilie vyeo vikubwa, utadhalilika!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Oct 21, 2022 Thread starter #2 Championship said: Labda anaenda kupewa liverpool. Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38]
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 Oct 21, 2022 #3 Erythrocyte said: Bali haifahamiki chanzo cha yeye kuweka mpira Kwapani Click to expand... Jamaa ametimuliwa, hajaondoka kwa hiari.
Erythrocyte said: Bali haifahamiki chanzo cha yeye kuweka mpira Kwapani Click to expand... Jamaa ametimuliwa, hajaondoka kwa hiari.