Steven Gerrard

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861

...wapenzi wa bwawa la maini inaonekana kiduuuuuuuuuuchu humu...! habari ndio hiyo.
 
Hiki ndio kitu kinachowaharibu wachezaji wa England WALEVI mno
 
Hiki ndio kitu kinachowaharibu wachezaji wa England WALEVI mno

Lakini vijana wa mitaani nao ni wakorofi na hutaka sana kuwajaribu wachezaji. Hapa kama Gerrard ataonekana ana hatia basi atapigwa faini tu na labda kupewa probation ya miezi mitatu. Ni hazina ya Taifa na wamo katika mkakati mzito wa kwenda RSA 2010.
 
He will beat the charges like rocky!
 
...wapenzi wa bwawa la maini inaonekana kiduuuuuuuuuuchu humu...! habari ndio hiyo.
Zamani Tz ilikuwa na wapenzi wengi wa Bwawa la maani, lakini katika miaka ishirini iliyopita wengi wamezaliwa na ambao ndio wapo kwenye mtandao na wengi wao wanaijua zaidi Manu na Chelisii.

Anyway kwetu guns tunamtakia heri ya mwaka mpya
 
Wengi walihamia Chelsea after Abromo kuinunua ile klablu na ukichangia walikuwa na miaka mingi tuu ya kufanya vibaya.....Embu tuwaulize akina Ma-Mods wetu upenzi wao ni kitambo au ndio 'wale wale'..

By the way sioni Gerady kipenzi cha Waingereza akienda Jela, sidhani..at leats atapigwa faini.
 
...wapenzi wa bwawa la maini inaonekana kiduuuuuuuuuuchu humu...! habari ndio hiyo.
Sitashangaa uchunguzi ukifanyika ukakuta kuna mkono wa Sir Alex F.
Anacheza mpira ndani na nje ya uwanja.
 
Sitashangaa uchunguzi ukifanyika ukakuta kuna mkono wa Sir Alex F.
Anacheza mpira ndani na nje ya uwanja.
Fergie ndio alimtuma jamaa akalete fujo huko bar?
 
Sitashangaa uchunguzi ukifanyika ukakuta kuna mkono wa Sir Alex F.
Anacheza mpira ndani na nje ya uwanja.

Mmeanza visingizio inhali mtanange ndio kwanzaa waanza?..mtasema yoote msimu huu!
 
hafungwi mtu pale hata Liver nao ni wazee wa fitina,atalipa faini tu,ni mwaka wa liver huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…