ngalikikinakiki
Member
- Mar 29, 2011
- 55
- 19
huuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hacha pombe!Alikuwa aitwe Steven Kajumulo, baba yake na mama yake waliachana wakati hajazaliwa ndiyo maana baba yake wa kufikia hakuona umuhimu wa kuhudhuria mazishi, anaebisha amuulize mama yake. Mzee Kajumulo bahati mbaya alifariki miaka mitano iliyopita. Watoto wa kajumulo wanalijua hili na walikwisha fahamiana na ndugu yao, na walikuweko kwenye msiba....kwa wabishi muulizeni mama yake awafahamishe kuhusu ndoa yake hiyo ya kwanza iliyoleta watoto wawili.