Steven Kanumba: Has a Very Touching Story!

Ni siku nyingi sana sijasikia habari mbaya asubuhisubuhi (dawn) mpaka leo hii. Jaman hii habari ya kifo cha The Great Kanumba ni very touching jamani. May his soul rest in peace.
 
Big up Mkuu Pasco...

RIP Kanumba.

Binafsi nilipomsikia akitamka kuwa hana mpango wowote wa kuoa nikajua huyu kijana maisha yake yatakuwa mafupi. Kwa utajiri aliokuwa nao na jinsi maisha yetu wabongo yasivyo salama alihitaji HOME Management. Funzo kwa vijana wa kisasa
 

Jana niliwanunulia familia 'kijiji cha haki' ....dah!
RIP Steve!
 
inasikitisha

 
Jana niliwanunulia familia 'kijiji cha haki' ....dah!
RIP Steve!

yah! Wamama na watoto wengi ni fans wa uongo wake wa wazi. Fiance kanipigia simu kuniuliza imebidi niingie jamvini kupata ukweli.
 
kuna filamu yake ya Big Daddy alicheza na watoto wawili
mwanangu anaipenda sana, aliposikia Kanumba amefariki amelia sana
utadhani mtu mzima.
 
Wapenzi na washabiki wa kanumba nikiwemo poleni sana,mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.amen.
 
jamani nitamkumbuka kwa movie yake ya uncle JJ ,inasikisha sana hii ni habari nzito kwa watanzania na tasnia nzima ya filamu.ooh mungu iweke roho ya Steven Kanumba The great ,pema poponi
 
poleni sana mafans wa kanumba the great. Naomba yoyote mwenye chanzo cha his death.
 

Kuna kitu hapo chunguza mjomba utabaini,inawezekana alijua kila kitu,maana ukienda kutafuta utajiri unapewa miaka ya kuwa na mafanikio then unavuta,huyu jamaa alianza kupata mafanikio 2004/2005 mpaka sasa ni miaka takriban 7,chunguza hapo!
 
kuna filamu yake ya Big Daddy alicheza na watoto wawili
mwanangu anaipenda sana, aliposikia Kanumba amefariki amelia sana
utadhani mtu mzima.

Jamaa nyota yake iling'ara sana hasa kwa wakina mama na watoto R.I.P
 
Kuna kitu hapo chunguza mjomba utabaini,inawezekana alijua kila kitu,maana ukienda kutafuta utajiri unapewa miaka ya kuwa na mafanikio then unavuta,huyu jamaa alianza kupata mafanikio 2004/2005 mpaka sasa ni miaka takriban 7,chunguza hapo!

mhh ! King
 
kwakweli imeniuma..dah. Kweli hatujui siku wala saa..
 
R.I.P Kanumba,jaman mie nilikua nikiona movie yoyote yenye sura yake wala cjiulizi nikununua tu kiukweli inauma,alikua nembo ya nchi kwenye tasnia ya filam,alijitahidi kuitangaza nchi yetu kupitia kazi zake!jaman tujiandaen tu kwan hatuijui cku wala saa ya sisi kutangulia mbele ya haki!
 
Mimi siyo mpenzi wa movie za kibongo ila nimewai kutizama movies chache za Kanumba na Ray,

Kwenye upande wa kipaji naweza sema Kanumba alibarikiwa kuwa nacho, akiunganisha na weledi wake aliweza kutoa movie nzuri sana na zinazogusa jamii moja kwa moja

Tasnia ya filamu Tanzania imepoteza mtu muhimu sana.

R.I.P The Great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…