Steven Kanumba: Has a Very Touching Story!

Ooooops! filamu yake niliiona mara ya mwisho tukiwa safarini toka Mbeya na basi la Sumry inaitwa "Kijiji cha Haki" niliipenda...R.I.P Kanumba!
 
May Allah rest Ur soul in eternal Peace Steven Kanumba.
 
I'm still shocked! Kifo chake kimesababishwa na nini? Ni mdogo sana jamaniiiii daah,gone too soon....RIP Kanumba,daima utakumbukwa na wengi. Binafsi nakukumbuka kwenye BBA,Mungu akurehemu.

"They say you need to pray, if you want to go to heaven. But they don't tell you what to say when your whole life has gone to hell". God help us.
 
Kwa vile wife na watoto ni fans wa Kanumba, saa hizi amewaamsha watoto wote wamekusanyika sebuleni as is ni msiba wetu!.

acha kusumbua familia......................nunua dvd yake muifaidi polepole huku mkichangia Bongo movie industry...............
 
acha kusumbua familia......................nunua dvd yake muifaidi polepole huku mkichangia Bongo movie industry...............
Rutashuba, sio mimi ni yeye, nilisema "ame"!. Kiukweli huu msiba mmemgusa sana, sikuzote nimekuwa nikijua wife anapenda movies za Kanumba, baada ya kutokea msiba leo, ndio nimegundua kuwa kumbe anachopenda sio movies za Kanumba, bali in actual fact, anapenda Kanumba!.

Kwa jinsi anavyohuzunika utadhani ni ndugu yake!, mpaka kimoyo moyo nikadhania ....

Anyway..

RIP SK The Great!
 
Kuna kitu hapo chunguza mjomba utabaini,inawezekana alijua kila kitu,maana ukienda kutafuta utajiri unapewa miaka ya kuwa na mafanikio then unavuta,huyu jamaa alianza kupata mafanikio 2004/2005 mpaka sasa ni miaka takriban 7,chunguza hapo!

Possibly.....
 





Eeeeh...!!! Baba, ishia hapohapo usiendelee na ikibidi muombe radhi mkeo kwa ka wivu kako...
 
kuna filamu yake ya Big Daddy alicheza na watoto wawili
mwanangu anaipenda sana, aliposikia Kanumba amefariki amelia sana
utadhani mtu mzima.

Ana yake huyo...
Kwani ana umri gani na ni jinsia gani?
 

Unaposema wanaopendwa na wengi hufa angali vijana je unaweza kunithibitishia?
Kama ukishindwa basi pokea salam toka kwa Keny Roggers, Bi Kidude, Maalim Muhidin Gulumo, Pele, na wengine waliouvuka umri wa ujana angali wakiwa hai....
 
Iende irudi Kanumba ni 5 star actor. Jamaa ni kichwa,anajua anachokifanya.
... Nampa pole for that sad story! Yote maisha.

Unaposema 5 star actor unatakiwa ufafanue.
Ni kwa hapa Tanzania tu, au Efrica tu au Dunia kwa ujumla?

Kama ni kwa Efrica na Dunia naomba ufute hii post yako.
 
Unaposema wanaopendwa na wengi hufa angali vijana je unaweza kunithibitishia?
Kama ukishindwa basi pokea salam toka kwa Keny Roggers, Bi Kidude, Maalim Muhidin Gulumo, Pele, na wengine waliouvuka umri wa ujana angali wakiwa hai....

queen Elizabeth,DAVID BECKHAM,
 

Bible inasema waheshimu baba na mama yako ili upate miaka mingi na kheri duniani.
 
Kwa wale ambao hawakubahatika kuiona hiki kipindi cha story ya Kanumba, saa hizi kinarudiwa Clouds TV.

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…