TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

Nilikushaur uwe una drink responsible mkuu...
 
Nilikushaur uwe una drink responsible mkuu...
Nimekaa cell wiki zima bila kunywa ,kaka nilikuwa natetemeka kama jenereta la mjerumani .
Rafiki yangu mmoja alikuwa zamu siku hiyo akaniletea kakonyagi kadogo nahisi ilikuwa siku yangu ya kwanza kuhisi kuna watu wana roho nzuri zilizopitiliza .
 
Rafiki wa kweli ni yule anae kufaa wakati wa shidaa .
 
Sahihi,nadhani mimi ,wewena wengine tunaomfahamu tuna jesi ya kujibu kwa Mungu,yule akitakiwa apelekwe sobber house,ungemuona m6waka jana ungelia,alihitaji msaada wa mtu wa kumrudisha kwenye njia
Nimeishi maisha alioishi Stive tena kwa miaka mingi. Nilipiga uturn japo kwa asilimia chache baada ya kupata ajira bank na yeye akaenda wizara ya ardhi, Regu akaenda ofisi ya mwanasheria Mkuu na Ben yeye aliamuaga kubaki mtaani. Muda wa kazi Tulikua tunavuka maji kwenda kunywa za bei rahis Jeshini
Kesho anaagwa kanisa Mbezi chini kabla ya kilimacharainbow. Tutaonana wengi
 
Flavi wa Mbezi?
 
mabange ?
 
Lakini ujue pía kuacha ni maamuzi zaidi ya mtu kuliko kupewa maneno mengi. Nilikuwa huko
Sasa mkuu uliwezaje kutoka huko maana..unakua kwenye point ya kupoteza mwelekeo na kila kitu ulicho kipigania/ pambania maishani..

Mfano mtu Kama chid Benz, Jos mtambo, dulayo e.t.c Nazungumzia watu walio Katika stage Kama hiyo yaan.

Nawaza mdogo angu anatokaje kwenye hilo shimo gumu na baga alilo jiingiza unaweza ku share ulitumia mbinu gani?!
 
Steve shule ya msingi alikuwa mtoto mpole Sana full adabu
Geti kali ...ila badaye akaja kuja kuchangamka mpaka nkashangaa 😄

Ova
Hii ilikuwa baada ya baba yake kuanza madudu katika familia.
Rahisi sana wazazi kuwaharibu watoto wao kwa vitendo vya ufuska, na huku wakimwona mama yao akimlalamikia sana baba yao.
 
Sobber house ndio suluhisho
 
Hii ilikuwa baada ya baba yake kuanza madudu katika familia.
Rahisi sana wazazi kuwaharibu watoto wao kwa vitendo vya ufuska, na huku wakimwona mama yao akimlalamikia sana baba yao.
Kuna vitu vinachekesha,Diamond ana bifu na baba yake kisa alimtelekeza,at the sane time na yeye anatelekeza na kuzaa ovyo ovyo.
Mzee Jacob juna makosa aliyafanya ila ana nafuu mara mia kuliko aliyofanya Steeve ambaye tulitegemea awe tofauti na mzee wake
Yaani hapa watoto wanafanya makosa makubwa kuliko yababa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…