TANZIA Steven Msaki bishoo wa Mbezi Beach afariki dunia

Ndiyo maana akasema, kwa waliokulia ada Estate, waliosoma forodhani primary school, St Anthony, dakawa High school......wanaweza kuwa wanamjua.
Wale wa bariadi, vwawa, rwamishenyi sjui same ugweno tulieni

🀣🀣🀣🀣🀣
Mbona watulie πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Aisee.

Wale wanangu wa Taurus -Syria watapeana taarifa, wakanyagiaji na mabaharia wa Greece, wahuni wa Istanbul na umangani Karachi, Lahore na Kabul.

Yote maisha kazaliwa Obey, kaende Mbezi beach, sijui St Anthony mara Dakawa sijui Ada estate mara ardhi,Mbezi beach Kafa..
RIP may Allah forgive your sins InshaAllah rest you in heaven, we are on the way coming.
 
Sio mbaya
 
Wewe kijana wangu nini!
 
🀣🀣🀣🀣🀣
Mbona watulie πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Sasa wamekaza mafuvu kulazimisha mtoa mada aelezee zaidi ya hapo eti wamjue na mjini wamefika juzi baada ya kumaliza vyuo wako kwa wajomba na mashemeji kujitafuta πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ wanalazimisha kumjua mtoto mzaliwa wa jiji
 
Hivi ndugu za wafiwa huwa wanawaambia mje mfungue thread au mnajipa majukumu yasiyowahusu?
 
Vijana kuweni makini sana na afya zenu hakuna tuzo ya kunywa mapombe, kuvuta sigara na shisha zaidi ya kukaribisha maradhi ya kudumu na kifo

Nguvu za ujana zisiwadanganye ukishagonga 40+ ndio utaelewa madhara yake

Namkumbuka enzi hizo alikuwa akija sana Upanga na washikaji zake na pigo zake

Poleni wafiwa na mlioguswa na kifo cha Steve
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…