Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Anachokieleza huyu mkinga hakieleweki. JMsanii wa Filamu Nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa taasisi ya Mama ongea na Mwanao maarufu kama Steve Mengele anasema kuwa Mwanachama namba moja wa Yanga Sc alikuwa ni mwanasiasa kwahiyo watu wasishangae kwanini Wananchi wameamua kuchangia kwenye harambee ya CCM.
View attachment 3440349
Pale juu ungeandika hivyo sio Steve Nyerere ni Steve Mengele ifike hatua Mama Maria Nyerere awapige marufuku hawa vibweengo sasa kulitumia Jina la Nyerere kisha wanaongea uvundo, unanielewa Poppy Hatonn mwambie Mama hapo awapige marufuku hawa jamaa wanaotumia jina la Mzee kisha wanaongea ujingaSteve Mengele