STEVEN WASSIRA: Wanaopinga uwazi ndiyo maadui wa demokrasia

duchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
1,766
Reaction score
333
Aliyasema hao Mhe Steven Wassira katika kipindi cha Jambo cha TBC kwamba kinataka kufichwa nini wakati wananchi, jamii au kundi unaowawakilisha wana haki ya kufahamu kuwa walichotutuma ndicho ulichotekeleza.
Alisema “Aidha kuna masuala ya msingi na nyeti ya kutolewa maamuzi zaidi ya suala la muungano
kama vile yale masuala yanayomgusa mwananchi moja kwa moja sasa haya nayo tunataka kuwaficha nini wananchi wanahaki ya kujua tunawawakilisha vipi”
 
Aliyasema hao Mhe Steven Wassira katika kipindi cha Jambo cha TBC kwamba kinataka kufichwa nini wakati wananchi, jamii au kundi unaowawakilisha wana haki ya kufahamu kuwa walichotutuma ndicho ulichotekeleza.
Alisema "Aidha kuna masuala ya msingi na nyeti ya kutolewa maamuzi zaidi ya suala la muungano
kama vile yale masuala yanayomgusa mwananchi moja kwa moja sasa haya nayo tunataka kuwaficha nini wananchi wanahaki ya kujua tunawawakilisha vipi"

Huyu Wasira anatia hasira!! Tulichowatuma ..................!!?? Hivi tuliwatuma lini?? Kama tuliwatuma sisi kwa nini wanakaa vikao vya chama kila kukicha?? Mbona hao wabunge hawakwenda kwenye majimbo yao ku-consult?? Mbona wabunge wanaowakilisha magroup mbalimbali wamechaguliwa na Rais?? Sasa ana guts za kuja kudai kuwa tuowawakilisha wana haki ya kufahamu ................ akina nani hao?? CCM!!
 
Alisema "Aidha kuna masuala ya msingi na nyeti ya kutolewa maamuzi zaidi ya suala la muungano
kama vile yale masuala yanayomgusa mwananchi moja kwa moja sasa haya nayo tunataka kuwaficha nini wananchi wanahaki ya kujua tunawawakilisha vipi"
Hilo nalo neno tukiamua kura ya siri ina maana likija suala la ushoga kwa nini tujifiche kuamua? tusiangalie muundo wa muungano tu.
 
Aliyasema hao Mhe Steven Wassira katika kipindi cha Jambo cha TBC kwamba kinataka kufichwa nini wakati wananchi, jamii au kundi unaowawakilisha wana haki ya kufahamu kuwa walichotutuma ndicho ulichotekeleza.
Alisema "Aidha kuna masuala ya msingi na nyeti ya kutolewa maamuzi zaidi ya suala la muungano
kama vile yale masuala yanayomgusa mwananchi moja kwa moja sasa haya nayo tunataka kuwaficha nini wananchi wanahaki ya kujua tunawawakilisha vipi"

Ningalikuwa ndio huyo mwandishi wa habari ningalimwuliza kama mambo hadharani mbona wamepinga suala la waaandishi wa habari kuingia kwenye vikkao vya kamati? Lakini umesema ni TBC najua hawana guts za kuuliza maswali kama hayo.

Waandishi wenyewe hawa tulionao ? kile cha wazi tunachoona wote wanaposha wakiruhusiwa kuingia kwenye kamati wakaona wao peke yao si itakuwa balaa?
 
Back
Top Bottom