Stieglers Gorge Hydroelectric Project

Kikwete mbona kishaitangaza hiyo project kuwa ataianza hivi karibuni. Hizi habari zingine ni pumba tu.

Au hamkusikiliza hotuba yake ya ufunguzi wa Bunge la kumi?
 

A good leader is the one who is ready to take diffult decisions for the future benefits of the general public at large dispite the negative impacts that his/her people may presently face.

For me, at least H.e. Mkapa showed a way. Under Mkapa's leadership, huge and historic projects were implemented successful. These include (just to mention a few) The Mkapa Bridge, The huge Lake Victoria Water Supply Project to Kahama and Shinyanga, kms of tamac roads across the country, The national stadium, etc. Similarly, Mwalimu did the same under his leadership. There are a lot of examples to emulate this argument. Almost 80% of the current power is generated from the plants which were constructed during his era.

Likewise, if jk was wise enough and determined he would have made a history by implementing tha huge power project to address the long standing electricity problem in our country.
 
Jamani viongozi wa africa isipokua KAGAME wana laana!hivi hamkushangaa ile meli ya mafuta total ya IPTL waziri anatoa agizo meli ipo dar tayari tena bila kutangaza tender!pia hamuoni kuwa wanapenda kununua vivuko badala ya kujenga ma daraja ya kudumu?eg daraja la kigamboni limeishia wapi?
 



HOW ABOUT ule mpango wa UMEME KULE MTO malagarasi?
 
Kikwete mbona kishaitangaza hiyo project kuwa ataianza hivi karibuni. Hizi habari zingine ni pumba tu.

Au hamkusikiliza hotuba yake ya ufunguzi wa Bunge la kumi?

Are you sure?? Maana naona kama umeleta dharau humu na unaona watu wapo serious na maendeleo ya nchi yetu.
 
Kikwete mbona kishaitangaza hiyo project kuwa ataianza hivi karibuni. Hizi habari zingine ni pumba tu.

Au hamkusikiliza hotuba yake ya ufunguzi wa Bunge la kumi?

Come on... Wote tulimsikiliza huyo msanii jinsi alivyoonesha kuwa ni mradi ambao utatumia miaka mingi sana kukamilika. Sasa ukisoma hiyo habari ya This Day (sijui kama umeisoma kabla ya kuchangia?!) utagundua kwamba kumbe mradi unakuwa sabotaged tu na mafisadi. Otherwise ni mradi ambao ulipaswa kutekelezwa siku nyingi sana, na huu upuuzi wa mgao wa umeme ungeshakuwa historia -- kwamba hapo zamani za kale Tanzania kulikuwa na tatizo la umeme na watu wake walilazimika kukaa gizani kwa masaa mengi kutokana na ujinga na usanii wa viongozi wao.
 
Kufika tutafika ila tutakuwa tumechoka mbaya hii ndio Tanzania inayosifika kwa Amani .....wakati watu wake hawana Amani kila tatizo ni lao watanzania magonjwa, miundo mbinu, Umasikini,na kila baya.
 
Hii project iko kwenye pipeline inaendelea; ukiona magazeti ya IPPMedia yanaanza kampeni ujue Mzee Mengi alikuwa anafuatilia maslahi fulani akazidiwa spidi.

 
Angeweza tu kama tungelikuwa na terrorist groups zenye kutaka kutengeneza mabomu ya kujiripua ya nuklia. Lakini mbali na hivyo atakufa na ujuzi uliogharimu pesa ya watanzania kumsomehsa kwa kutuchekea majukwaani. Shame!
 
Alafu ikawaje? Amelitetea vipi kwenye ilani hii tena? same undless and unfulfilled stories?
 
Hii Serikali inabidi ipinduliwe tu, iondolewe madarakani kwa lazima, zaidi ya hapo hakuna jipya CCM ni ile ile and it will never change
 
Ratiba ilisema kiongozi wa nchi atawasili hotelini saa nne kamili usiku, ataenda chumbani kwake then in 5 min atashuka chini kuongea na Watanzania...watu wakafika hotelini na kugandishwa hadi saa tano na nusu..alipofika yeye na mkewe akawap watu mikono na musala "Asante kwa kutukRibisha" then huyo shaaa chumbani, kwani... tulimuona tena??kuuliza tukaambiwa kasema hashuki chini tena...hayo si ni madharau?

Huyu ndo Raisi anejali Uzalendo kweli?
 
Mlimbebea mabango?

Kama hamkubeba na mkaenda kujipitisha kwake, basi Kikwete kafanya kazi safi sana.

Mlikuwa na muda huo wa sekundi mbili. Mngelimpigia hata makelele lakini nyie, ziii.

Safi sana kafanya Rais wa Tanzania yetu hii Tukufu.

Mlitaka aje tena mumpe maswali ya Kuchakachua? Jamaa ni mtoto wa MUJINI ati.
 
Poleni..yaani mlienda kumlaki raisi wa nec!!
Imekula kwenu sasa na hilo winter. Mmekaa barafuni kwa 1.5 hrs mkimngojea msanii !! ..
Anyway, sasa mtaelewa matatizo ya mfumo wa utawala wa kifisadi Tz. Next time mtajua nini cha kufanya..
 
Hamkuelewa kuwa ni mgonjwa!
Kama kulikuwa na baridi basi mtakeni radhi coz yangezuka mengine kabisaaa yaani kuanguka puuuu!
 
Huyo ndiye rais wa NEC . Rais wetu kamili sasa anasafiri majimboni kuanza utekelezaji wa ahadi zake .SLAA
 
Cheki link hii utaona jinsi mkuu wa kaya alivyodanganywa na washauri wake kua project itachukua miaka zaidi ya 9.
Home
 
Sisi tulioko huku bongo tunaposema hali ni mbaya hamuamini ? Mmeshuhudia wenyewe
 
Walisema he was late for being briefed na balozi wetu maana hata baadhi ya watu kwenye msafara walianza kelele kwamba mbona imechukua muda.Chini watanzania waliokuja kumpongeza walikuwa wanalia tu na wachache walikuwa na maswali hao waliwaka kweli wakitaka aje waanze kusogoa ilishazidi muda.JK hakuwa na ratiba ya kuonana na Watanzania wale ila walijitokeza wenyewe baada ya kusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…