Stieglers Gorge Hydroelectric Project

Afadhali, He acted like a president! Nyiekwenda kwenda kwenye hizo hoteli mpaka mumzengee muishimiwa?
 
Okay. Calm down. Take a deep breath, and then sign a 'stieglers gorge' petition here: TATIZO LA UMEME: TUPATIENI 'STIEGLERS GORGE' Petition. Hasira, kelele, lawama, matusi won't help a thing! Let's push this Kikwete guy to act. Let's send a strong message to 'em Mafisadi guys, too--kwamba "Tanzania ni nchi yetu sote!"
 
Natamani na kusubiri kuona siku ambayo tutapata viongozi wenye uchungu hasa na nchi yetu wakiwapanga foleni wahujumu wote wa uchumi wetu regardless wana umri gani, ikiwezekana na wanafamilia wao waliohusika, na kuwapiga risasi hadharani.

Nimekuwa nawafundisha wanangu kuwachukia mafisadi na wahujumu uchumi na ninataka kuwafundisha sasa kwamba ikitokea wakawa wakuu wa nchi hii wasisahau kuwapa adhabu za vifo watu hawa. Hili linawezekana na litakomesha mchezo huu. Ngoja niwatayarishe wanangu kuwa viongozi.
 

and tell them that R.A, EL and J.K are his top 3 enemies!? TEACH YOUR KIDS TO HATE THEM WITH INNERMOST PASSION!
 

"Raisi wetu JK anawasili leo saa 21:30 usiku kwaajili ya maadhimisho ya Siku ya maendeleo ya jumuiya za ulaya"...Watanzania Wote tumeombwa twende kuonana na Raisi hotelini kwake saa nne usiku.....! Hiyo ndo taarifa tuliyokua tumetangaziwa na balozi wetu.
 
Nchi ya wasanii mpaka mabalozi wasanii. Si wanapeana hapa ubalozi kama zawadi au kama retirement benefit kwa walioshindwa chaguzi?
 
Subirini utasikia Masha Laurence ni balozi Belgium. Kalagabaho
 

hiyo yawachina kupigwa stop kuanza ujenzi wa mradi imenitia hasira natamani kulia
 
watu wengi walishastukia hili dili na ndio maana wengi wao hawakuja. Tangu mwenyekiti wa watz Ndugu mwasha alipoanza kutoa ratiba feki wajanja wakajua JK anakwepa maswali ndio maana anajidai ratiba yake ipo taiti. Na huu ni uongo mtupu, kazi alisubiri tu watu waondoke kesho yake akaende kuchezea mabembea kama kawaida yake.
 
Du poleni kwa kukaa hivyo, ina maana hata akija Ulaya bado anakuwa na saa za kiswahili? Saa 4 anatokea 4 na nusu? Mngeondoka tu watu hawaheshimu muda hasa viongozi.

Nadhani pia alimiss mbaya trip za kiwanja ngoja utamsikia anatia tim US muda si mrefu. Gharama zake watanzania watabeba tu ni watu wa AMANI na UKARIMU ULIOTUKUKA.
 

Kheeeeeeee ndio gharama ya kujikomba kwa rais Mwizi.
 
Nadhani pia alimiss mbaya trip za kiwanja ngoja utamsikia anatia tim US muda si mrefu. Gharama zake watanzania watabeba tu ni watu wa AMANI na UKARIMU ULIOTUKUKA.

Ni kweli kabisa mkuu watu wakitaka kupinga tu wanaambiwa wanachochea vurugu
 
kaja kula raha belgium nyie mnataka kuleta maswali yenu ambayo hata kuyajibu hawezi? mngemwandikia maswali kabla ili atafute majibu kabla...

halafu na hiyo baridi na afya yake mnataka kutuingiza gharama za uchaguzi mwingine nini?
 
It wounds my heart to find tanzanian behaving like non Tanzanian. Ill advising president for personal interest is not acceptable and if revealed those responsible should face a death penalt.

kikwete should be number 1 to face death penalt cause he is the one signed IPTL contract...
 
Kumbe tunateseka na joto lote hili na giza nene la mgao wa umeme kutokana na kazi ya mafisadi na viongozi wala rushwa? Wallahi nchi hii itakuwa masikini milele...

Waingereza na wamarekani walisema wangelijenga reli ya Tazara Kwa miaka kati ya 25 na 28. Mchina alisema ataijenga kwa miaka mitano lakini aliijenga kwa miaka minne na nusu. Ukitafuta uwiano wa Tazara na Ujenzi wa stigler goerge wa miaka 9, Wachina wataijenga Stigler goerge kwa miaka miwili na nusu. Mbona Dubai Ina mitambo ya umeme wa baharini na Ujenzi wa Dubai nzima na siyo mitambo hauzidi miaka 15.

Tumsaidie Raisi wetu wazalendo.
 
Jamani hapa wa kulaumiwa ni Kikwete au ni washauri wake...! Kuna watu kama akina Commisoioner of Energy mzee Mrindoko, huyu ni wa kufukuza kazi na anastahili afunguliwe mashtaka ya wizi wa mali ya Umma. Huyu ndio chanzo cha mauozo yoote haya yatokanayo na upungufu wa Umeme...!

Amekua Commissioner for more than 10 Yrs na katika kipindi chake ndio mamb yoote ya uozo wa IPTL, Richmond yametendeka...! Hapa wa kulaumiwa asiwe kikwete bali ni Makatibu wakuu, wakurugenzi na commissioners ambao ndio watu technical wanao jua hali halisi zaidi na ndio wanaopindisha mambo kila kukicha...!
 

Good MzPunch. Tena hakuna cha mradi kutumia miaka nyingi sana, technologia ya sasa ya dunia ni tofauti sana na 1961 tulipopata uhuru.
Kazi kama hii kwa mfano kuzalisha MW700 za mwanzo hardly inachukia 2 years tu.
Tatizo ni usanii na maneno matamu yasiyotelezwa. Wape wachina huo mradi wa kujenga uone sisimizi hawa wnavyoshambuliaga kazi, provided usanii wa viongozi usipewe nafasi kuuingilia ujenzi wake. Fisadiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Kikwete mbona kishaitangaza hiyo project kuwa ataianza hivi karibuni. Hizi habari zingine ni pumba tu.

Au hamkusikiliza hotuba yake ya ufunguzi wa Bunge la kumi?

Aiseee, usaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mpaka kwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…