Stieglers Gorge Hydroelectric Project



Usilete masuala ya kusikia mkuu; kama ni kusikia tu, hata mie nimesikia kuwa hiyo tathmini ya mazingira ilitolewa kisanii tu ... ili mradi usifanyike na wakubwa waendelee na mipango ya umeme wa dharura.
Kauli yako hii ndio ukweli halisi mpaka leo, kama uko hai Mungu aendelee kukupa maisha marefu na mazezeta kama huyo fundimchundo hawastahili kuwa hai mpaka leo hii.
 
Hivi hizi akili zenu 'why' mlikubali zikapeperushwa na 'pesa' za Lowassa na kundi lake la Rostam Aziz
 
Environmental Impact Assessment ni nini kwa Kiswahili?

Ni Tathimini ya athari za mazingira. Mradi wowote mkubwa ukijengwa haswa maeneo yenye uoto wa asili, vyanzo vya maji au ndani ya Hifadhi za Taifa, kabla hujaanza kujenga kuna wataalamu wa mazingira wanapima athari za mradi katika mazingira hayo.
 
Hii ndiyo Miradi inayotakiwa kutekelezwa ili Singasinga Seth anyolewe ndevu.
 
Kumbe tunateseka na joto lote hili na giza nene la mgao wa umeme kutokana na kazi ya mafisadi na viongozi wala rushwa? Wallahi nchi hii itakuwa masikini milele...
Duh hivi hawa mafisadi walokwamisha hili watakwenda kumjibu nini Mungu kwa haya mambo walokuwa wanafanya na kusababisha shida nyingi kwa wananchi wa Tanzania?
 
Hivi hizi akili zenu 'why' mlikubali zikapeperushwa na 'pesa' za Lowassa na kundi lake la Rostam Aziz
Wengine ilibidi tuombe kushuka porini, tuendelee na mapambano wakati wenzetu walivyo badili safari kutoka ukombozi mpaka kula makombo! Sasa wanasikilizia mziki ambao hawajawahi uhisi hata kuwahi kuufikiria ungewafika na wakalazimika kucheza sindimba ngoma ya ukae...The best is yet to come...Kwa Bwana Yesu kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa ni Bwana huku duniani, kule kuzimu na hata mbinguni...Hii ni next level never seen before!
 
@FaizaFoxy soma hii comment usilazimishe kwamba JK alihusika kwenye ujenzi wa JNHPP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…