Stiegler's Gorge: The true cost of power

"It is surprising that Odebrecht, although an experienced international developer with an awareness of environmental and social issues and the associated risks to a project, would rely solely on Tanzanian consulting firms and government agencies with little experience and conflicting interests to handle this side of the project. It is also surprising that the Tanzanian government would put at risk protected areas of this quality, when there are multiple other power supply options, including other hydropower sites, with similar costs and lower risks.

IUCN, the UNESCO World Heritage Centre, and the Ramsar Convention Secretariat have an opportunity to assist the Tanzanian government in taking better care of these exceptional sites, and basing strategic energy development decisions on better information. The IUCN/UNESCO mission should encourage government to share the currently available information, in order to allow additional expert input, to open up a dialogue with the Ramsar secretariat, and to consider alternatives to Stiegler’s Gorge".

Who is to care these bullying, contemptuous, simplistic and unconcerned Eurocentric notions? Not Tanzanians!
 

Kwani mlishikiwa (kulazimishwa) Bunduki ku'Sign hiyo Mikataba ?. Kosa mfanye wenyewe kwa tamaa zenu na Wizi mlio jijengea halafu leo mje mlalamike na blah blah kama hiz hapa ?

Nikukumbushe tu kwa Wizi wenu huo wa kuingia Mikataba ya kinyonyaji ,anae umia zaidi ni Wananchi Masikini mnao jitapa kuwatetea kila uchwao..
 
Wakati wa Gesi Mlituambia Itatutoa Kwenye Shida Ya umeme Milele.
 
Kama Hujui Tofauti Ya R Na L nani Atakuamini Huu utumbo ulioandika Hapa?
 
Mbona mnaupnga sasa.???Pro western?....Ndio maana sasa tunataka apone mwananchi wa chini...son of servants...Mtanzania yeyote anayepnga mradi wa stglas Gorge naamini haitakii mema nchi yetu nzuri ya Tanzania kwa 100% na vizazi vijavyo...kifupi naamini ni kibaraka au anatumiwa na wenye makampuni yanayonyonya Tanesco kwa umeme wa bei ya juu
 

Tulia uelewe na fuatilia matukio ya TZ hasa Bungeni kinachoendelea, wabunge wantaka Mbuga na hifadhi zipunguzwe malisho yaongezeke. Serekali na baadhi ya MACCM hayataki.
 
Tulia uelewe na fuatilia matukio ya TZ hasa Bungeni kinachoendelea, wabunge wantaka Mbuga na hifadhi zipunguzwe malisho yaongezeke. Serekali na baadhi ya MACCM hayataki.
Serikali ilishaanza kupunguza baadhi ya maeneo ya hifadhi za wanyama pori na kuyatoa kwa shughuli za kijamii zikiwemo za wafugaji na kuzalisha umeme wa maji.
 
Well said
 
kuna
alternatives
less impactfull
project that could generate
similar Quantity of
power...why selous???
 
Mikataba mmesaini wenyewe
 
Jadili hoja kwa hoja.... Hizo ngonjera tupa kuleee bring your arguments here
 
Acha kuwaonea wazungu! hata huo mradi mnao taka kufanya kuanzia technolojia,maarifa,mitambo mpaka uendeshaji kwa 98% unawategemea hao wazungu,insu kubwa hapa ni kwa nini serikali ya CCM inharibu fedha nyingi kwa miradi ambayo haina vichwa wala miguu.
Kwa mujibu wa hiyo article kupata funds za ku finance huo mradi ni ndoto....
 
Wazungu wamekata miti yoote huko kwao sasa hawataki sisi tukate huku ili wafaidi upepo kutokea pande hizi... Wao wamekata miti kujenga maviwanda, mashule, mahospitali huku wakitegemea upepo kutokea huku... Acha tuikate tu dunia iwe jangwa maana kama wangefahamu hili wasingekata miti huko kwao zamani...Hapa kazi tu, kata miti jenga stieggler gorge..
 
Usikute huyu jamaa amesoma na ana digrii kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Usikute huyu jamaa amesoma na ana digrii kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mkuu kwani hili linahitaji degree au shule?? hapana akili ndogo kabisa ya kuzaliwa inahitajika.

Ulaya yoote miti ilishikatwa wakajenga viwanda, wao ndio wanaongoza kuharibu ozone layer kwa kuzalisha hewa chafu na kemikali mbalimbali.. Wao pia ndio wanaofadhili wildlife conservation huku Africa, unajua kwanini?? Jibu ni rahisi tu sisi tutunze urithi wa dunia na misitu wao wajenge viwanda kwao, Tanzania mapoli yako meengi mno hivo hilo likiondoka sio tatizo mamba na viboko watabaki mtoni..simba na wenzie watajisogeza selou au poli kwa poli mpaka mikumi..Permanent solution kwetu kwenye suala la umeme ni hii hivyo watuache kwanza.. Ujerumani wanaviwanda vya kutosha huko mapolini baada ya kuharibu mapoli meengi mno..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…