mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
-
- #21
Nadhani hata wewe umeonesha kosa la mshika kibendera, na hakuna pengine unapoweza sema Yanga wamebebwa.. Hebu jitahidi kutoa ushauri Kwa timu yako pendwa angalau ijitahidi ili iyo October watibue rekodi hii ya Yangakuwa walau na AIBU kidogo
Hivi si juzi juzi tu Yanga ililalamika maamuzi kwenda against Yanga kweny Mechi zote tatu kuanzia Ngao ya hisani pamoja na Mechi mbili za ligiaway? Leo uamuzi mmoja tu wa krosi ya mpira uliovuka mstari tayari Yanga inabebwa na marefarii? Makosa ya Leo ni ya kibinadamu zaidi..Unbeaten ya marefa. Na haitatokea Yanga ifungwe. Miaka kumi ijayo sababu ya marefariiizzz
Penati ya Azam ilikuwa clear Penati na sio Dive,Penati ya Morison haikuwa halali ni uhuni,Morison kakanyaga mtu makusudi tumboni ilikuwa clear Red Card,mnataka mpaka utumbo wa mchezaji wa Azam utoke nje ndio muamini??Mpira uliozaa Goli la kwanza huo nimeweka picha,inahitaji miwani kweli??Nadhani hata wewe umeonesha kosa la mshika kibendera, na hakuna pengine unapoweza sema Yanga wamebebwa.. Hebu jitahidi kutoa ushauri Kwa timu yako pendwa angalau ijitahidi ili iyo October watibue rekodi hii ya Yanga
Mbona unaumia sana mkuu?? We ni mpenzi wa Simba?? Kua unaona wivu Yanga kutofungwa leo?? Basi ni hivi Simba S.C ndio amecheza Mechi 40 bila kupoteza..Penati ya Azam ilikuwa clear Penati na sio Dive,Penati ya Morison haikuwa halali ni uhuni,Morison kakanyaga mtu makusudi tumboni ilikuwa clear Red Card,mnataka mpaka utumbo wa mchezaji wa Azam utoke nje ndio muamini??Mpira uliozaa Goli la kwanza huo nimeweka picha,inahitaji miwani kweli??
HongereniLeo ni game ya 40 kweny ligi ya NBC timu ya Wananchi hawajaonja kichapo cha kupoteza mechi.
Japo najua huko mbeleni watafungwa tu ila paka kufika hapa wanastahili pongezi. Bravoo Wananchi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Huu ndio uungwana mtani. Sijui kwann uko mbumbumbu fc wakati upstairs upo vizuri kiasi hikiHongereni