MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
Unaposema serikali "yoyote" unamaanisha Communism, Socialism?
No mkuu namaanisha kwamba mambo kama haya ya stimulus package pesa zikisha tolewa mnasikia updates ya zime tumika vipi, hao walio pokea hizo pesa wana zitumia vipi na kama pesa zime saidia au laa. Sasa hizi pesa za stimulus tokea zitangazwe sija sikia tena zimeenda wapi na zime tumikaje na kama kweli zime saidia kustimulate.