samhillu12
Member
- Oct 7, 2021
- 94
- 208
Nimeikuta sehemu. Imekaaje hii wadau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wa V8?Kubana matumizi
NinyongweeeeWale wa V8?
[emoji1][emoji1][emoji119]Ninyongweeee
Serikali imenunua? Au za kutaifisha?Mbona zipo nyingi mjini
Sijui kwa kweliNa usikute hii nayo ni mtumbaView attachment 2454769
KuongezaWale wa V8?
Kuongeza? Au unamaanisha kuongoza?Kuongeza
Serikali wamenunua ukifika manispaa ya Ilala zipo hata dawasco wanazo pia Hadi POLISI Zipo zimeandikwa PTSerikali imenunua? Au za kutaifisha?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda ya kununulia vitafunwa
Ok. Asante kwa taarifa. Nimeikuta DodomaSerikali wamenunua ukifika manispaa ya Ilala zipo hata dawasco wanazo pia Hadi POLISI Zipo zimeandikwa PT
Wa bajaj ni kupunguza matumizi.. Wa V8 ni kuongeza matumizi! Ili tupate uwiano kusiwe na ombweKuongeza? Au unamaanisha kuongoza?
Wa bajaj ni kupunguza matumizi.. Wa V8 ni kuongeza matumizi! Ili tupate uwiano kusiwe na ombweKuongeza? Au unamaanisha kuongoza?