LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 653
SUPPLY
Kwenye uchumi Supply ni zile bidhaa ambazo muuzaji yupo teari kuziuza kwa mda husika, kulingana na bei ya soko.
Mfano 1 :
Muuzaji wa saa, anaweza akawa ametengeneza jumla ya saa 100, lakini yupo teari kuuza 50.
Kwahiyo tutasema kwamba muuzaji ana STOCK ya saa 100, ila yupo teari ku SUPPLY saa 50.
Mfano 2:
Mpika sambusa amepika sambusa 50, lakini anauza sambusa 30 tu, sambusa 20 anampango wa kula yeye na familia yake.
Ina maana muuza sambusa kwa muda husika ana STOCK ya sambusa 50, ila kulingana na bei yupo teari kuuza sambusa 30 tu, kitendo cha yeye kuamua kula sambusa 20 na familia yake bila kuzilipia tunakiita DRAWINGS.
Drawings ni neno linalotumika kwenye accounting ambalo lina maanisha kuwa ni kitendo cha mfanya biashara kutoa pesa au mali za biashara kwaajili ya matumizi yake binafsi.
Biashara ndogo nyingi zinafeli kwasababu ya kukosa nidhamu ya biashara.
Natumai mpaka hapo umeweza kutofautisha neno STOCK na SUPPLY na kuelewa maana ya DRAWINGS.