Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
-
- #21
2-2 mnabahati mmebebwa goli la offside LUKAKUUlikuwa unamaanisha timu yenu ya Liverpool itafungwa goli 5?
Punguza kukariri maishaAngesema AARON ningeamini, wengine hakuna uhakika
Sio moto wa pundaLishabiki la arsenal hili...
Mlipigwa kimoko kikawavimbisha (mimba)!
Subiria uone moto wa farasi...
Kiko wapi sasa? Kuna watu na fani zao kakaPunguza kukariri maisha
Kweli dunia imeshangazwa kwa sareMimi nimerudi kwenye uzi wewe je?
Toka JB Mpiana akufukuze naona unahangaika tu hahahahahaaaa!2-2 mnabahati mmebebwa goli la offside LUKAKU
......