MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
I'm glad I didn't go through that stage of puppy love....
Nakumbuka enzi zile tunasoma....... mapenzi ya chandimu unaandikiwa barua ya mapenzi ina mistari kibao ya nyimbo za mapenzi za kina Boyz II Men, imeandikwa kwa kalamu za rangi zote, imenyunyiziwa manukato/poda na kuishia na msemo huu wa Stollen Kisses are Sweetest.............
Leo hii ninapokuwa nimekua na uzee unapiga hodi....najiuliza sijui una ukweli kiasi gani usemi huu.............:angry::angry: does it also include the "Quickie" people are having in offices and other places?
....♫ pheeewwwww♫ !!!...hapo sasa, 'mwanzo wa ngoma ni lele!'
Nakumbuka enzi zile tunasoma....... mapenzi ya chandimu unaandikiwa barua ya mapenzi ina mistari kibao ya nyimbo za mapenzi za kina Boyz II Men, imeandikwa kwa kalamu za rangi zote, imenyunyiziwa manukato/poda na kuishia na msemo huu wa Stollen Kisses are Sweetest.............
Leo hii ninapokuwa nimekua na uzee unapiga hodi....najiuliza sijui una ukweli kiasi gani usemi huu.............:angry::angry: does it also include the "Quickie" people are having in offices and other places?
habari za asubuhi dada?!......Nakumbuka enzi zile tunasoma....... mapenzi ya chandimu unaandikiwa barua ya mapenzi ina mistari kibao ya nyimbo za mapenzi za kina Boyz II Men, imeandikwa kwa kalamu za rangi zote, imenyunyiziwa manukato/poda na kuishia na msemo huu wa Stollen Kisses are Sweetest.............
Leo hii ninapokuwa nimekua na uzee unapiga hodi....najiuliza sijui una ukweli kiasi gani usemi huu.............:angry::angry: does it also include the "Quickie" people are having in offices and other places?
Poa tu kaka....................!habari za asubuhi dada?!......
Hahahahhah kaka am in deep, deep love with that little boy of mine lol...........
ha ha ha!Hahahahhah kaka am in deep, deep love with that little boy of mine lol...........
.........Kaka Bana..... inamaanisha..........je hii inajumuisha na zile huduma za chapchap zinazofanyika maofisini na sehemu nyingine?zile ambazo hutolewa wakati wahusika wakiwa na wasiwasi wa kubambwaha ha ha!
okay back to normal sasa..........
naomba unifafanulie stetiment ifuatayo kwa kiswahili cha kawaida kabisa::angry::angry: does it also include the "Quickie" people are having in offices and other places?
hehehehe!.........Kaka Bana..... inamaanisha..........je hii inajumuisha na zile huduma za chapchap zinazofanyika maofisini na sehemu nyingine?zile ambazo hutolewa wakati wahusika wakiwa na wasiwasi wa kubambwa
ha ha ha!