MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #21
Hahahahaha zile za wahindi mungu wangu kuna moja ilinileteaga kasheshe lol.......secret admirer mwenyewe kaniandikia afu kabla sijakabidhiwa ikadondoka na kuokotwa na wengine ......lolna zile kadi zinapicha za watu wazuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,old is gold kwakweli
Stolen kisses are the sweetest....kulikuwa na writing pads zenye harufu za manukato na maua, ivi zipo bado???
Kapekue mabegi na masanduku ya wanao.... utapata ukweli kama bado zipo....Stolen kisses are the sweetest....kulikuwa na writing pads zenye harufu za manukato na maua, ivi zipo bado???
Kapekue mabegi na masanduku ya wanao.... utapata ukweli kama bado zipo....
Hahahahaha zile za wahindi mungu wangu kuna moja ilinileteaga kasheshe lol.......secret admirer mwenyewe kaniandikia afu kabla sijakabidhiwa ikadondoka na kuokotwa na wengine ......lol
We acha tu mamito yaani ....bahati ni kuwa admirer mwenyewe aliandika initials tu si jina kamili so kila mwenye initials zinazofanana na hizo alihisiwa yaani nikagaiwa mabofulend kumi8 kidogo acha tu but since haikuwa kweli haikunisumbua sana...........ilikujapotea yenyeweah ah ah duh uliaibikaje?
ha ha ha!Teamo unakuwa kama Maimuna bana
We acha tu mamito yaani ....bahati ni kuwa admirer mwenyewe aliandika initials tu si jina kamili so kila mwenye initials zinazofanana na hizo alihisiwa yaani nikagaiwa mabofulend kumi8 kidogo acha tu but since haikuwa kweli haikunisumbua sana...........ilikujapotea yenyewe
We acha tu mamito yaani ....bahati ni kuwa admirer mwenyewe aliandika initials tu si jina kamili so kila mwenye initials zinazofanana na hizo alihisiwa yaani nikagaiwa mabofulend kumi8 kidogo acha tu but since haikuwa kweli haikunisumbua sana...........ilikujapotea yenyewe
Yaani acha tu....wa siku hizi hawaupati ule uhondo.Siku hizi ni mwendo wa sms na facebook..
Nadhani kama nimeelewa swali lako unauliza aweje secret admirer wakati kaweka initials si ndio??MJ1 naomba uboost memory yangu kidogo (kuna vyakula vinavyorudisha kumbukumbu?).....hii ya secret admirer na initials imetoka wapi...
Yaani acha tu....wa siku hizi hawaupati ule uhondo.
Wajua enzi zile ukiandikiwa barua unachoanza kufikiria ni ule muda jamaa kaketi akiandika hiyo barua........kama alijifungia chumbani, library au wapi mwenyewe kajipinda akiwaza maneno matamu ya kukudanganyia........ ilikuwa na raha yake bana. Haya ya sms hukawii kutongozwa kwa sms ambayo ni forwarded
Hii mada mie hoi
HUyo wa quickie ya kwa job anapata muda wa kiss ya ku-steal kweli au ni anagugumia na shamba tu? NImekula Biringanya siku arobaini nadhani leo nakua kichaa
:redfaces:
Hahahahah St. RR yaani wewe ndo umeielezea kihalisi ile hali .nimecheka mpaka machozi.Na unakubali kwa forwarded sms as well....:becky:
Enzi za SLP unaandika draft kama mara nne kwanza....ukiridhika ndo unahamishia kwenye karatasi za maua/perfumed....:A S-heart-2::A S-heart-2:
Teamo unakuwa kama Maimuna bana
dah... kweli bora nirudi kwenye red labelHapana Acid hapa nilikuwa namaanisha na hizo quiekies ni sweetest kama isemekanavyo kwa stollen kisses??
Pole kwa bilinganya