kichwat
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 1,819
- 588
Mashirika ya ndege ya nchi maskini, hasa Afrika, yamejikuta yakikumbwa na ajali nyingi za ndege kutokana na kununua ndege chakavu kutoka makampuni ya ndege ya ulaya na marekani. Ndege zilizotengenezwa miaka 20 hadi 30 iliyopita na kutakiwa KUTUPWA (grounded), sasa zinafanyiwa ukarabati na kuletwa kwetu kuwa 'FLYING COFFINS'
Cha ajabu ni kwamba bado tunategemea Western media (BBC, CNN, etc.) kutuambia vyanzo vya ajali kama - uzembe wa rubani, hali mbaya ya hewa, etc. wakati ukweli halisi wa chanzo kikubwa cha ajali ni KUNUNUA MITUMBA ISIYOFAA ANGANI kwa kisingizio kwamba 'imefanyiwa ukarabati na ukarafati mkubwa'.
Tuamke na tuwasaidie wahusika kuamka kabla ya cream yote ya intellectuals wetu wachache haijaangamia kwa ajali za ndege.