Stop dating mentally broke girls

In my case many women are liabilities,only few are assets and those who are assets they have no qualities of being called a wife or mother perhaps i'm afraiding of women who are more ambitious because they are too controlling chicks
 
Comrade ananiomba vibaya utasikia sasa hle issue?
Been there comrade ni hatari yule mchagga utafikiri kawekeza, not a single day goes by bila kirungu nikajikuta narudi nyuma kimaendeleo wakati yeye anaoptions zakutosha, drama mpaka zakujiliza yani.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Huyo akupendi kabisa ukikipenda kitu lazima ukitengee mda
 
Namba tano nimekataaa,, hao wenye XX chromosomes ndo wako attached sana na negative emotions kuliko sie,, wao wana case nying za depression kuliko sie
 
They are abusing the privilege bhana,,, yaan ckuhz ni kama wako entitled na being taken care of,,

Man tukirudi kwenye nature twaitwa malaya ila wao wakiabuse the privilege tunawachekea,,,

Pesa sio tatizo,, tunatoa tu,, but waangalie na limit
 
Been there comrade ni hatari yule mchagga utafikiri kawekeza, not a single day goes by bila kirungu nikajikuta narudi nyuma kimaendeleo wakati yeye anaoptions zakutosha, drama mpaka zakujiliza yani.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
At a mimi huyu ni mchagga mzigo anabania namshangaa ananichukuliaje?
 
As long you are dating a mentally broke girl then you are more likely to be a mentally broke guy, birds of same feathers...
 
Dhuu muzee umemwaga povu
Hivi mkuu kama kitu kiko kwa viwango na unakipata pale unapo kihitaji bila longolongo unaachaje kugharamia mkuu

Mie labda awe na longolongo. Lakini kama you available kila ninapomuhitaji atakula mema toka kwa wallet yangu

Hivi mkuu unaweza onga nyumba kweli
Wenzako tunaweza provided no longolongo 😜😜😜
 
Suprising fact
 
90% ya wake zetu/na wachumba hapa Tanzania are liabilities to the relation and our life generally, they don't add any value to the husband just add stress on your life, en many think giving sex is apreveladge to the husband,........ una wasikia shogaa angu nimepata danga lenye gari duh.
 
Well said brother

Me kuna mmoja niliingia nae kwenye mahusiano lakini kaboa hata sijamla mzigo akaanza kunichapa invoice mara ooh nilipie kodi nyumba mara sijui ooh simu imevunjika naomba unjpe hela nikabadirishe na gharama yenyewe ya kioo akanambia 80k daaah alinikera

Alishangaa kuona simtekelezei kumbe me nikawa namsikilizia tu nione kama atalalamika ili nimpe makavu live

Bwana wee alivyoona kimya si akanilalamikia kwamba matatizo yake siyachukulii kama yangu nikamwabia well kama unaona mimi siwajibiki basi nakuruhusu tafuta mwanaume mwingine atakaeweza kutatua shida zako kwa wakati

Daah aisee si akaona aniulize "kwahiyo unamaanisha nini ? " nikamchana live bila chenga kwamba me naona bora tuachane

Nikaona ananibembeleza nisimuache na mpaka leo anaogopa kunipiga mizinga isiyokua na kichwa wala miguu

Nilichojifunza ni kwamba hawa viumbe ukiwachekea watakusumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…