Storage charges Bandarini

Juma salehe

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
40
Reaction score
16
Ndugu waungwana ntashukuru nikijua jinsi ya kukokotoa storage charges ya bandari! mfano Noah ikikikaa mwez how much??
 
Angalia ktk Bill of loading ya hiyo gari, ina CBM ngapi? Nadhani Noah ina CBM 14 au 15 tuchukue CBM 15 kwanza watakucharge 15 mala mbili kama removal charges inamaana $30 kisha $15 kwa siku, baada ya siku 30 inapanda wanaanza kucharge 15 times 1.5 per day. Sasa piga mahesabu ya siku iliyokaa bandarini.
Upande wa TRA nao watakucharge Customs rent ambayo ni 15 times 0.30 per day.
 
Asante mkuu, cjakuolewa kdgo wengine hesabu zipo pembeni kwa formula hiyo, storage charges kwa cku 18 , TRA plus bandarin itakua USD ngap??
 
Asante mkuu, cjakuolewa kdgo wengine hesabu zipo pembeni kwa formula hiyo, storage charges kwa cku 18 , TRA plus bandarin itakua USD ngap??

storage kwa siku 18 ni. Removal charges $30 + storage 15 times 18 ni $270 na customs rent ni 18 times 0.30 ni $5.4 kwahiyo 30+270+5.5 ni $305.5 @1675 - Tshs 511,712.
 
Duhh,hapondio huwa naona kuagiza gari nje ni tatizo kama hujajipanga.
Halafu mbali na hasara hiyo pia wizi ni mkubwa sana.
Juzi nimesafirisha Carry kutoka hapa tu Zanzibar kuja Dar,yaani niliambiwa nitoe vyote vinavyototoka,basi hatimae wameiba Mfuniko wa Tank ya mafuta.aahhh.
Sasa hiyo iliyokaa mwezi,Radio,Power Windows,Battery,Mirrors,Spare tire,sijui kama zipi salama.Pia nenda na fundi aanglie Engine,kabla ya mwakyembe kusafisha pale kulikuwa na mradi wa wakubwa,unabadilishwa hadi Engine pale.
Ndio maana baadhi ya watu gari ikifika tu anaitoa au ikimshinda anaiuza pale pale kwa Madalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…